Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Maelezo ya mpango

Soma Biblia Kila Siku /Septemba 2023Mfano

Soma Biblia Kila Siku /Septemba 2023

SIKU 1 YA 30

Katika Warumi sura ya 9-11 Mtume Paulo anafundisha juu ya mpango wa Mungu kwa taifa la Israeli, taifa teule la Mungu. Hao walimkataa Kristo ingawa wao ndio wangalikuwa wa kwanza kumpokea (m.4-5; 1:16)! Na hili ni taifa lake Paulokwa jinsi ya mwili,yaani kutokana na ukoo wake (11:1,Mimi nami ni Mwisraeli, mmoja wa wazao wa Ibrahimu, mtu wa kabila ya Benyamini). Uchungu wake kwa ajili yao ni mkubwa sana, maana husema:Ningeweza kuomba mimi mwenyewe niharimishwe(yaani kulaaniwa)na kutengwa na Kristo kwa ajili ya ndugu zangu(m.3). Hii ni roho ya Kristo asemaye:Mwana wa Adamu [= Kristo mwenyewe] naye hakuja kutumikiwa, bali kutumika, na kutoa nafsi yake iwe fidia ya wengi(Mk 10:45).

Andiko

siku 2

Kuhusu Mpango huu

Soma Biblia Kila Siku /Septemba 2023

Soma Biblia Kila Siku /Septemba 2023 ni mpango mzuri wa kusoma biblia kila siku sehemu kwa sehemu kwa mwezi wa septemba pamoja na maelezo mafupi ya kukusaidia kutafakari somo ulilosoma. Katika mpango huu utasoma zaidi k...

More

Tungependa kuwashukuru Soma Biblia kwa kutoa mpango huu. Kwa habari zaidi, tafadhali tembelea: https://www.somabiblia.or.tz/

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha