Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Maelezo ya mpango

Soma Biblia Kila Siku /Septemba 2023Mfano

Soma Biblia Kila Siku /Septemba 2023

SIKU 8 YA 30

Je, wamejikwaa hata waanguke kabisa(m.11)?Je, Waisraeli wametupwa na Mungu moja kwa moja bila uwezekano wa kukubaliwa tena? Huenda Wakristo wa Tanzania tungejibu "ndiyo"? Au tuna mawazo gani juu yao? Afadhali tukubali kuongozwa na jibu la Paulo ili tuwe katika ukweli wa Mungu! Jibu lake ni "Hasha"! Maelezo:Shinani Kristo.Mzeituni ulio mwemani watu wa Mungu: Awali ni Waisraeli; kwa sasa ni Wakristo.Mzeituni mwituni watu wasio Waisraeli kwa asili, yaani sisi. Basi tusijivune. Rudia m.17-21.

siku 7siku 9

Kuhusu Mpango huu

Soma Biblia Kila Siku /Septemba 2023

Soma Biblia Kila Siku /Septemba 2023 ni mpango mzuri wa kusoma biblia kila siku sehemu kwa sehemu kwa mwezi wa septemba pamoja na maelezo mafupi ya kukusaidia kutafakari somo ulilosoma. Katika mpango huu utasoma zaidi k...

More

Tungependa kuwashukuru Soma Biblia kwa kutoa mpango huu. Kwa habari zaidi, tafadhali tembelea: https://www.somabiblia.or.tz/

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha