Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Maelezo ya mpango

Soma Biblia Kila Siku /Septemba 2023Mfano

Soma Biblia Kila Siku /Septemba 2023

SIKU 30 YA 30

Kufanikiwa kuna hatari: Kiburi! Tazama m.6, Mwimba Zaburi anaposema kama mdhalimu:Nami nilipofanikiwa nalisema, Sitaondoshwa milele(ling. Zab 10:6 ambapo mdhalimu kwa kiburiasema moyoni mwake, Sitaondoshwa, kizazi baada ya kizazi sitakuwamo taabuni). Kwa hiyo akapatwa na hasira ya Mungu, akataka kufa. Lakini akagundua kuwa hasira ya Mungu kwa watu wake ni ya kitambo, yaani, mpaka tuombe radhi kwake.Maana ghadhabu zake [Bwana] ni za kitambo kidogo, katika radhi yake mna uhai(m.5). Je, unajua kuwa tunaishi kwa sababu Mungu anatulinda na kutuepusha na kifo? Au kwamba kama tukifanikiwa na kuinuliwa katika maisha, ni kwa sababu ya wema wa Mungu? Tumshukuru Mungu kwa mema mengi tupatayo maishani ili tusijivune na kufa!

siku 29

Kuhusu Mpango huu

Soma Biblia Kila Siku /Septemba 2023

Soma Biblia Kila Siku /Septemba 2023 ni mpango mzuri wa kusoma biblia kila siku sehemu kwa sehemu kwa mwezi wa septemba pamoja na maelezo mafupi ya kukusaidia kutafakari somo ulilosoma. Katika mpango huu utasoma zaidi k...

More

Tungependa kuwashukuru Soma Biblia kwa kutoa mpango huu. Kwa habari zaidi, tafadhali tembelea: https://www.somabiblia.or.tz/

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha