Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Maelezo ya mpango

Soma Biblia Kila Siku Juni/2022Mfano

Soma Biblia Kila Siku Juni/2022

SIKU 8 YA 30

Wana wa Mungu wanapaswa kuishi kwa hofu na kutetemeka mbele za Mungu awaonaye sirini, bila kusimamiwa au kukaguliwa na mchungaji, wakijua kwamba ni Mungu awawezeshaye katika kutenda na kuamini kwao. Kwa kuwa Mungu ndiye atendaye ndani yao, na kwa kuwa yote atendaye Mungu ni matakatifu, maisha ya wana wa Mungu yataonyesha utakatifu. Hii ndiyo sababu wana wa Mungu ni nuru ya ulimwengu (Mt 5:14,Ninyi ni nuru ya ulimwengu. Mji hauwezi kusitirika ukiwa juu ya mlima). Leo omba, Mungu akusaidie kuishi kama nuru kwa wenzako.

siku 7siku 9

Kuhusu Mpango huu

Soma Biblia Kila Siku Juni/2022

Soma Biblia Kila Siku Juni/2022 ni mpango wa kusoma Biblia sehemu kwa sehemu kila siku kwa mwezi wa Juni pamoja na maelezo mafupi yatakayokusaidia kuelewa kwa urahisi na kuendelea kutafakari neno la Mungu ulilosoma kwa s...

More

Tungependa kuwashukuru Soma Biblia kwa kutoa mpango huu. Kwa habari zaidi, tafadhali tembelea: http://www.somabblia.or.tz/

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha