Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Maelezo ya mpango

Soma Biblia Kila Siku Juni/2022Mfano

Soma Biblia Kila Siku Juni/2022

SIKU 10 YA 30

Mkristo ni huru, mbali na hukumu, pia mbali na jitihada za matendo ya mwili. Utoshelevu na furaha yake vimo katika kuamini kuwa Yesu ameziondoa dhambi zote kabisa bila msaada wa jitihada za matendo yake. Matendo ya mwili kama vile tohara ya Myahudi, au kujitahidi kutafuta haki kwa matendo mema yo yote, hakumpi mtu uhuru wa kiroho kwa sababu matendo hayaondoi dhambi. Yesu anapotawala maisha, yeye huweka ndani mwetu sheria ya kweli inayomhofu na kumwishia Mungu.

Andiko

siku 9siku 11

Kuhusu Mpango huu

Soma Biblia Kila Siku Juni/2022

Soma Biblia Kila Siku Juni/2022 ni mpango wa kusoma Biblia sehemu kwa sehemu kila siku kwa mwezi wa Juni pamoja na maelezo mafupi yatakayokusaidia kuelewa kwa urahisi na kuendelea kutafakari neno la Mungu ulilosoma kwa s...

More

Tungependa kuwashukuru Soma Biblia kwa kutoa mpango huu. Kwa habari zaidi, tafadhali tembelea: http://www.somabblia.or.tz/

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha