Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Maelezo ya mpango

Soma Biblia Kila Siku Juni/2022Mfano

Soma Biblia Kila Siku Juni/2022

SIKU 1 YA 30

Wafilipi lilikuwa Kanisa la kwanza Ulaya, huko Ugiriki. Lilijaliwa kushiriki kazi ya kuwapelekea watu wengine habari ya wokovu kwa michango yao. Wamekuwa fundisho bora kwetu kuwa tuchangie kazi ya Injili bila kujali mipaka ya Utaifa na Ukabila. Tusitie shaka katika mafanikio ya kazi hii ya neema, kwani kama vile wokovu wetu ulivyoanzishwa na kutunzwa na Mungu hata mwisho, ndivyo atakavyoitunza kazi ya Injili. Twaona Paulo akiwaombea Wafilipi, jambo lililo wajibu wa Wakristo. Tumwige.

Andiko

siku 2

Kuhusu Mpango huu

Soma Biblia Kila Siku Juni/2022

Soma Biblia Kila Siku Juni/2022 ni mpango wa kusoma Biblia sehemu kwa sehemu kila siku kwa mwezi wa Juni pamoja na maelezo mafupi yatakayokusaidia kuelewa kwa urahisi na kuendelea kutafakari neno la Mungu ulilosoma kwa s...

More

Tungependa kuwashukuru Soma Biblia kwa kutoa mpango huu. Kwa habari zaidi, tafadhali tembelea: http://www.somabblia.or.tz/

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha