Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Maelezo ya mpango

Soma Biblia Kila Siku Juni/2022Mfano

Soma Biblia Kila Siku Juni/2022

SIKU 11 YA 30

Kristo Yesu ni haki ile itokayo kwa Mungu. Kwa hiyo kumjua yeye, yaani kumwamini Kristo na kutambua uweza wake uliojitukuza katika kufufuka kwake, ni jambo la maana na msingi imara kwetu. Paulo analitamani hilo, na anawaita Wafilipi na sisi tulichuchumilie. Maana kutambua hivyo kwatupatia faida ipitayo faida ya mambo yote yapatikanayo nje ya Kristo. Kila aliye na Kristo kwa njia ya imani, atakubaliwa na Mungu na kuifikia kiyama ya wafu, yaani kupewa uzima wa milele.

siku 10siku 12

Kuhusu Mpango huu

Soma Biblia Kila Siku Juni/2022

Soma Biblia Kila Siku Juni/2022 ni mpango wa kusoma Biblia sehemu kwa sehemu kila siku kwa mwezi wa Juni pamoja na maelezo mafupi yatakayokusaidia kuelewa kwa urahisi na kuendelea kutafakari neno la Mungu ulilosoma kwa s...

More

Tungependa kuwashukuru Soma Biblia kwa kutoa mpango huu. Kwa habari zaidi, tafadhali tembelea: http://www.somabblia.or.tz/

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha