Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Maelezo ya mpango

Soma Biblia Kila Siku Mei/2022Mfano

Soma Biblia Kila Siku Mei/2022

SIKU 1 YA 31

Wewe ukipatwa na shida, unajua msaada wako unapatikana wapi? Baadhi ya watu hawajui. Wengine huenda kwa washirikina, wengine huwaendea wa mizimu au nguvu fulani. Mwimba zaburi hii anaposema ataangalia mlimani, maana yake ni kuutazama Yerusalemu ambapo hekalu la Mungu lipo juu ya milima. Amegundua kuwa msaada wa kweli watoka kwa BWANA tu. BWANA ndiye mwenye uwezo wa kutulinda tutokapo na tuingiapo tangu sasa na hata milele (m.8). Mwamini BWANA katika shida zako, naye atakuokoa.

siku 2

Kuhusu Mpango huu

Soma Biblia Kila Siku Mei/2022

Soma Biblia Kila Siku Mei/2022 ni mpango wa kusoma Biblia sehemu kwa sehemu kila siku kwa mwezi wa Mei pamoja na maelezo mafupi yatakayokusaidia kuelewa kwa urahisi na kuendelea kutafakari neno la Mungu ulilosoma kwa sik...

More

Tungependa kuwashukuru Soma Biblia kwa kutoa mpango huu. Kwa habari zaidi, tafadhali tembelea: http://www.somabiblia.or.tz/

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha