Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Maelezo ya mpango

Soma Biblia Kila Siku Mei/2022Mfano

Soma Biblia Kila Siku Mei/2022

SIKU 9 YA 31

Mfalme Sulemani alianza kuwatendea mema waliostahili, kama baba yake alivyomwasa. Shimei alikuwa mmoja wao. Alipewa ruhusa ya kujenga mjini Yerusalemu kwa masharti ya kwamba asitoke nje ya mji kwenda popote. Pamoja na makubaliano, miaka mitatu baadaye watumishi wake Shimei walitoroka, akawafuata nje ya mji. Hili lilikuwa ni uvunjifu wa makubaliano na mfalme. Adhabu yake ikawa kifo. Mungu anatutegemea tutunze maagano naye. Tujihadhari tusivunje amri za Mungu kwa sababu yoyote.

siku 8siku 10

Kuhusu Mpango huu

Soma Biblia Kila Siku Mei/2022

Soma Biblia Kila Siku Mei/2022 ni mpango wa kusoma Biblia sehemu kwa sehemu kila siku kwa mwezi wa Mei pamoja na maelezo mafupi yatakayokusaidia kuelewa kwa urahisi na kuendelea kutafakari neno la Mungu ulilosoma kwa sik...

More

Tungependa kuwashukuru Soma Biblia kwa kutoa mpango huu. Kwa habari zaidi, tafadhali tembelea: http://www.somabiblia.or.tz/

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha