Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Maelezo ya mpango

Soma Biblia Kila Siku 7Mfano

Soma Biblia Kila Siku 7

SIKU 3 YA 31

Maombi ya Danieli yalijibiwa mara (m.21:Nilipokuwa nikinena katika kuomba, mtu yule, Gabrieli, niliyemwona katika njozi hapo kwanza, akirushwa upesi, alinigusa panapo wakati wa dhabihu ya jioni). Maono yatafahamika kwa kutafakari neno la Mungu ambalo hutumia namba kuleta ujumbe. Licha ya uasi wa Yerusalemu uliosababisha kupelekwa uhamishoni, bado Mungu anaupenda mji wake. Hivyo kwanza upatanisho utaondoa uovu, masihi akija na kukataliwa mbali. Tufikiri juu ya Yesu hapo. Kisha mji huo utajengwa kwa upya kuwa ufalme kamili wa Mungu, Yesu akija tena na kuondoa lile chukizo la uharibifu atakaloliweka mpinga Kristo mahali patakatifu pa Mungu.

siku 2siku 4

Kuhusu Mpango huu

Soma Biblia Kila Siku 7

Soma Biblia Kila Siku 7 ni mpango mzuri wa kusoma Biblia sehemu kwa sehemu kila siku pamoja na maelezo yatakayokusaidia kuelewa zaidi.

Tungependa kushukuru Soma Biblia kwa kutoa mpango huu. Kwa habari zaidi, tafadhali tembelea: http://www.somabiblia.or.tz

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha