Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Maelezo ya mpango

Craig & Amy Groeschel kuanzia kwa hii siku nakuendeleaMfano

Craig & Amy Groeschel’s From This Day Forward

SIKU 7 YA 7

"Muda wowote ambao mutakua bado mungali hai" tafuteni Mungu. Pigana vita vizuri. Mujifurahishe. Muwe safi. Tena musi vunjike moyo. Haya ma dhamira tano niya muhimu kwa ndoa yakudumu. Ila tuna hitaji Mungu kwakutimiza mambo yayo; hatuwezi yatimiza kwa nguvu zetu wenyewe. Acha yalio pita kwa yalio pita. Acha kwamba kila siku kua siku nyipya. Kuanzia leo na kuendelea, tunaweza amua njisi tunavyo taka ndoa yetu kua. Hatuwezi badilisha yalio pita, ila Mungu anaweza badilisha maisha yetu ya kesho. Fanya ndoa yako rahisi, yenye lengo, na Kristo kua chanzo, na utakua na ndoa ambayo kila mutu hutarajia kukua nayo. Acha basi tuombe pamoja: Mungu, nisaidie kuona mwisho wa mpango ya Bibilia kama mwanzo wa mambo mpya ambayo unataka fanya ndani ya ndoa yangu. Nakupa udhibiti kamili ya mahali popote ndani ya maisha yangu — ikihusisha pia ndoa yangu — ilikwamba maisha yangu yote ikulete utukufu na heshima pia. Nina taka ndoa ambayo itaonesha ulimwengu nzima namna upendo wako, ukombozi, neema, na usamehe jinsi ilivyo. Kama ninavyo jitolea kukutafuta, athafadhali kua na kaa ndani ya ndoa yangu, na utufanyie neema yako sisi wote. Aksanta kwa mambo yote tayari ambayo umetenda ndani ya ushirika wetu na mauhusiano. Tena aksante kwa yale ambayo ninayo amini kama utaendelea kutenda ndani yetu na kwa kutupitia pia. Katika Jina la Yesu, amina.
siku 6

Kuhusu Mpango huu

Craig & Amy Groeschel’s From This Day Forward

Unaeza fanya arusi kubwa. Machaguzi yako ya leo yatamaanisha arusi ambayo utafanya kesho. Mcungaji na New York Times monadic hatimu Craig Groeschel na mke wake, Amy, wana kuonesha dhamira tano yawewe kuepoka kushindwa nd...

More

Tulipenda kushukuru Zondervan, HarperCollins, na Life.Church kwa tutupatia mpango huu. Kwa maelezo zaidi, tafadhali tazama: http://www.zondervan.com/from-this-day-forward

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha