Maelezo ya mpango
Craig & Amy Groeschel kuanzia kwa hii siku nakuendeleaMfano
Kuanzia siku ya leo nakuendelea”
uwe umefunga ndoa ama apana, umewai fikiria kama namna gani arusi yako yanaweza kua? Unge penda me wako awe mtu wa aina gani? Aina gani ya ushirikiano unge penda kua pamoja naye? Hata kama ungekua na watoto mahali gani unge pendezwa kuishi? Sasa fikiri kuhusu maisha ambayo unaishi leo. Tuta fanya je wakati ambapo ukweli wa maisha haishikike najinsi tulivyo panga?
Viapo vya arusi vina misemwa kama " kwa memam na kwa mabaya, Kwa utajiri na kwa umaskini, Ndani ya magonjwa na ndani ya afya." Mahusiano ina pia mabo haya yote. Haijalishe vitukio, machaguzi,mapungufu, ama mishangao yanaweza kufika kwa gafla, tunaweza tazama sikuzilizo pita kuvifanya kua nzuri kwetu. Tuna weza jikabizi kwa maisha mazuri kesho kuanzia sasa — "Kuanzia leo na kuendelea"
Kama kufanya aruzi ulio panga ingekua rahisi, ungekua umeifanya tayari, sivyo? Ikiwa kama hauna nguvu, lazima ujifunze kutegemea owezo za Kristo, ambao muda wote unatoshelea. Hata kama unasisikia kua mahali ambapo upendo umetoweka — munaweza tegemea kwa upendo Wake ambao hauishake.
Acha basi tuombe pamoja: Bwana, aksante kwa kila siku ambayo tumepokea kutoka kwako kwani i kama zawadi, nafasi nyingine yakuanzilia upya. Tusaidie kusamehe na kuache yaliyo pita. Atafadhali tusaidie kutazama uwezo wako ndani ya uzaifu wetu leo, na tena kesho, na kila siku iitwayo leo. Katika jina la Yesu, Amina.
Kuhusu Mpango huu
Unaeza fanya arusi kubwa. Machaguzi yako ya leo yatamaanisha arusi ambayo utafanya kesho. Mcungaji na New York Times monadic hatimu Craig Groeschel na mke wake, Amy, wana kuonesha dhamira tano yawewe kuepoka kushindwa nd...
More
Tulipenda kushukuru Zondervan, HarperCollins, na Life.Church kwa tutupatia mpango huu. Kwa maelezo zaidi, tafadhali tazama: http://www.zondervan.com/from-this-day-forward