Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Maelezo ya mpango

Craig & Amy Groeschel kuanzia kwa hii siku nakuendeleaMfano

Craig & Amy Groeschel’s From This Day Forward

SIKU 4 YA 7

Kuchukua msimamo wa uchumba inaweza leta raha mingi. Inajaa na matarajio na msisimko, ndi ni kama muda mfupi kulinganisha na muda ambao hupitisha pamoja katika ndoa. Namna gani unaweza beba hii raha ya uchumba, kuchukua msimamo, na usiku wa ndoa ndani ya miaka baada ya arusi? Namna gani una weza kua na raha hata kama ukipitia shida kipesa, shida na watoto wako, ama mabadiliko kawaida ya msimu ya maisha? Je, inakubidi uendelee kubembeleza mke wako ijapokua umemupata tayari?NDIO! Ni lazima raha ifanyika kama ya umbele na muhimu. Inaweza onekana kama anasa ambayo hauwezi weza, ila ukweli ni kwamba, ni hatua ya muhimu ya kukua naarusi yakudumu kabisa. Raha ni agizo. tena unaweza CHAGUA kukua na raha pamoja na mke wako. Sasa itakuaje kama ndoa ya mwengine inaonekana na raha zaidi kuliko yako? Sasa itakuaje kama huyo msichana kwenye benki anacheka kwa michezo yako? Sasa itakuaje kama huyo kijana ofisini anaonekana kua na mipango mizuri kwa mwisho wa wiki? Ikiwa kama majani yanaonekana kimajano mahali pengine — mwangia maji kwenye uwanja wa majani yako. Kua wa maalumu kuhusu urafiki na mahusiano. Jutahidi kurudisha urafiki kati yenu: kucheka pamoja, mchezo, keshea moja kwa mwengine kumupa maisha mazuri na furaha. Inaweza onekana kama haifurahishwe kupangilia muda wa raha, ila inaweza kua mwanzo ya mpango. kisha hio mauhusiano ndio amabyo unahitaji, sivyo? Acha tuombe pamoja:Baba, tuna tubu kwa mambo ambayo tuliruhusu kumaliza muda wetu pamoja na watu wengine. Tusaidie tuweze kuweka muda pamoja kama wanadoa. Tupe hekima na uumbaji wakupata muda wa kufurahia kukaa pamoja. Katika Jina la Yesu, amen.
siku 3siku 5

Kuhusu Mpango huu

Craig & Amy Groeschel’s From This Day Forward

Unaeza fanya arusi kubwa. Machaguzi yako ya leo yatamaanisha arusi ambayo utafanya kesho. Mcungaji na New York Times monadic hatimu Craig Groeschel na mke wake, Amy, wana kuonesha dhamira tano yawewe kuepoka kushindwa nd...

More

Tulipenda kushukuru Zondervan, HarperCollins, na Life.Church kwa tutupatia mpango huu. Kwa maelezo zaidi, tafadhali tazama: http://www.zondervan.com/from-this-day-forward

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha