Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Maelezo ya mpango

Craig & Amy Groeschel kuanzia kwa hii siku nakuendeleaMfano

Craig & Amy Groeschel’s From This Day Forward

SIKU 6 YA 7

"Usi vunjike moyo" Wakati unapo badilishana pete na viapo nakuingia katika angano ya ndoa, inamaanisha kama unajitolea mwenyewe kupenda "mpaka kifo kitutenganishe." Sasa ni nini hutukia wakati mapenzi hutoweka? Nini hutokea wakati ambapo moja pekee huchagua kusoma mpango wa Bibilia ? Hufanya je wakati ambapo mambo mbaya hutokea, na viapo vyenu vina unjwa na kukosa uaminifu? Ijapokua vyote munavyo kutana navyo, hata kama vinaweza kuwa peleka kwa talaka, inamaanisha kama inaweza kua sababu ya msamaha. Ndoa ni moja miongoni mwa njia ngumu kupita ambazo tunaweza ona usemi "chuma hu noa chuma" ukitendeka. Haijalishi hata kosa yoyote ambayo unaweza kuona ndani ya mke wako, ukweli ni kwamba, kuna njia ambao unaweza tumia kukomea na ku weka maendeleo pia. Ikiwa kama arusi inaanza kuonekana kama kipingu, inamaanisha kama una msimamo wakuchukua: unaweza chagua kusamehe yanayo onekana kama hayewezi kusamehewa. Unaweza amua kuongezea neema ambayo Mungu alikupa kwa mke wako. Unaweza amua kuweka hadi kwa makosa yako. Wakati gari yako inaisha mafuta, hautaiuza. Utaongezea mafuta! Ruhusu Mungu kupenda kukupitia. Na usivunjike moyo. Acha basi tuonmbe pamoja: Yesu, wakati najisikia kama sina hata tena upendo wakupeana, nisaidie kupenda na upendo Wako. Nisaidie kulinda viapo nilivyo fanya, hata wakati ambapo sivisikie tena. Nisaidie kupeana neema kama vile ulivyo nipa. Tena kua nguvu zangu kwa siku ambazo nime vunjwa moyo. Naamini kama wewe ni mkubwa zaidi kwa kutushikanisha pamoja. Katika Jina Lako tunaomba, amina.
siku 5siku 7

Kuhusu Mpango huu

Craig & Amy Groeschel’s From This Day Forward

Unaeza fanya arusi kubwa. Machaguzi yako ya leo yatamaanisha arusi ambayo utafanya kesho. Mcungaji na New York Times monadic hatimu Craig Groeschel na mke wake, Amy, wana kuonesha dhamira tano yawewe kuepoka kushindwa nd...

More

Tulipenda kushukuru Zondervan, HarperCollins, na Life.Church kwa tutupatia mpango huu. Kwa maelezo zaidi, tafadhali tazama: http://www.zondervan.com/from-this-day-forward

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha