Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Maelezo ya mpango

Craig & Amy Groeschel kuanzia kwa hii siku nakuendeleaMfano

Craig & Amy Groeschel’s From This Day Forward

SIKU 5 YA 7

"Baki msafi" Watu hupitisha miezi kadhaa wakipangilia kuhusu arusi ila mara nyingine hupuuzi kuweka mpangu ndani ya ndoa. Tunaweza enda kwa shule la ndoa ama kuongea na atakae unganisha ndoa, ila mara nyingi hatujifungue kwa mambo ambayo tunaweza leta ndani ya mauhasiano wetu. Tunaweza hata kua hatujui hata kidogo kuhusu namna ya mawazo yetu ya kila sku na tabia jinsi zinaweza kutishia umoja wetu. Kwa sababu kitanda cha ndoa ni mahali ambapo Mungu aliandaa kwa kufanyia ngono, ni mahali pia ambapo hutokea mateso wakati huleta mzigo za ngono ndani ya mauhusiano. Hata kama inatokea kwa wapenzi wengine wa kale, muziki ya mzigo wa ngono, hadisi za wapenzi wengine, vidonda ambavyo havija pona kutokana na unyanyasaji, ama kuwekwa kwa picha za ngono — kila chanzo cha kusisimua kingono inje ya mazingira ya ndoa yenu hii ni yatari tishio kabisa. Ijapokua kama umeweza kujiambia kama haiko shida ila ni shida, ikiwa kama unaifanya kwa siri bila kuambia mke wako, uka nafunga mlango mwenyewe kwa urafiki na unafungua mlango kwa uasherati. Je unataka kujenga ukuta pamoja kuweka inje hizo vitisho? Je unataka kuweka mpaka kwa uhuru wako ili uwekwe imara mbele ya majaribu? Je unataka kukua wazi pamoja na mpango wako, na maongezi yako, ama na mwingiliano kwenye mtandao? Fanya hivyo wakati una nguvu ya kujilinda mwenyewe ukiwa mzaifu. Uliza Mungu akuoneshe uzaifu wako — kisha zioneshe wazi.Utaweza vuka mipaka? Je kushindwa itatokea? Bila shaka kabisa. Weka mpako wa kuajudiliana na masuala yaki tokea. Omba Mungu akusamehe. Omba msamaha kwa mke wako. Ila piganisha kubaki msafi. Usafi ni wa muhimu. Acha tuombe pamoja: Yesu, Ulilipa beyi kali kwa kutusafisa na kutufanya upya. Wewe peke yako waweza kutuweka safi mbele ya uso wako. Tusaidie kukua na bidii yakubaki safi. Tupatie nguvu ya kyweza kusamehe na kulinda roho zete kwa uharibifu wa dhambi. Katika jina la Yesu, amen.
siku 4siku 6

Kuhusu Mpango huu

Craig & Amy Groeschel’s From This Day Forward

Unaeza fanya arusi kubwa. Machaguzi yako ya leo yatamaanisha arusi ambayo utafanya kesho. Mcungaji na New York Times monadic hatimu Craig Groeschel na mke wake, Amy, wana kuonesha dhamira tano yawewe kuepoka kushindwa nd...

More

Tulipenda kushukuru Zondervan, HarperCollins, na Life.Church kwa tutupatia mpango huu. Kwa maelezo zaidi, tafadhali tazama: http://www.zondervan.com/from-this-day-forward

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha