Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Maelezo ya mpango

Mambo 7 ambayo Biblia inasema kuhusu UzaziMfano

7 Things The Bible Says About Parenting

SIKU 1 YA 7


Tulining'iniza mstari huu chumbani kwa mtoto wetu kabla hatujamleta kutoka hospitali, na tunauona kila usiku tunapomlaza. Ni kumbukumbu nzuri ya wito na wajibu ambao Mungu ameuweka kwetu kama wazazi wake.


Kama wazazi, tuna wajibu wa msingi kujenga msingi wa imani ya watoto wetu. Ikiwa tunapenda ama la, tunachora picha ya imani kwa watoto wetu kila siku. Kila neno, kila tendo, na kila jibu ni kama brashi ya kupakia rangi. Kuchora picha sahihi inaweza kuonekana ni ya kutisha katika maisha ya kila siku ya malezi. Ikiwa uko katikati ya kukosa usingizi usiku ukiwa na mtoto, ukihimili changamoto za kumfundisha kujisaidia, kuangalia masomo yake ya nyumbani na kazi za shule, au kuzungusha funguo za gari, malezi ni kazi ngumu. Lazima tuumbuke kwamba Mungu hatutarajii kufanya hili peke yetu, -anawapenda watoto wetu kuliko tunavyowapenda.


1.  Omba pamoja na kwa ajili ya watoto. Kila siku.Kujenga msingi wa imani kwa watoto wako, maombi thabiti ni muhimu. Omba pamoja na kwa ajili ya watoto. Kila siku. Usiache kuomba kwa ajili ya watoto wako. Usiruhusu mazingira yao yafunike nguvu za Mungu. Hata kama sasa hivi mtoto wako anakimbia mbali na Mungu, ni kuwaombea tuu. Maombi yanaweza kubadilisha kila kitu.


2.  Usifanye mwenyewe Wanasema kulea mtoto inahitaji kijiji. Unahitaji watu katika maisha yako kusaidia kuwaelekeza watoto wako katika njia sahihi. Hudhuria ibada kama familia. Tumika kanisani kama familia. Jiunge na kundi dogo unaloweza kujifunza nyakati zote za malezi. Wote tunahitaji jamii, na ni muhimu kwako na kwa watoto wako kuwa na imara, katika mahusiano ya kiimani.


Hujachelewa kuanza kuwekeza katika imani ya watoto wako. Na pia hujawahi sana kuanza. Anza safari ya imani kwa watoto wako na uanze kuwaelekeza kwa Mungu sasa.


Todd Dobberstein
YouVersion Product Manager


Andiko

siku 2

Kuhusu Mpango huu

7 Things The Bible Says About Parenting

Kulea watoto ni kazi kubwa, hata katika mazingira bora. Katika mpango huu wa ibada wa siku saba, wazazi wa ulimwengu halisi -ambao pia wametokea kuwa wafanyakazi wa YouVersion - wanatushirikisha jinsi wanavyotumia kanuni...

More

Tungependa Kushukuru YouVersion kwa kutoa mpango huu. Kwa maelezo zaidi tembelea tovuti ya http://www.bible.com/reading-plans

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha