Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Maelezo ya mpango

Soma Biblia Kila Siku 03/2024Mfano

Soma Biblia Kila Siku 03/2024

SIKU 1 YA 31

Ukisoma Injili ya Yohana 1:1-3 imeandikwa kwamba Yesu Kristo ni NENO LA MUNGU. Kwa Neno huyu "Yesu" Mungu aliumba na kukamilisha yote aliyosema kwa njia ya manabii wake wote. Yesu ni mwisho wa Agano la Kale na mwanzo wa Agano Jipya. Hapa tunakutana na tangazo la ukuu wa Yesu unaopita hata ukuu wa malaika. Katika Yesu Mungu amejifunua kwa wanadamu na kufanya utakaso, yaani ondoleo la dhambi. Kwa njia ya Yesu Mungu amesema neno la mwisho kwa wanadamu ambalo niwokovu.

Andiko

siku 2

Kuhusu Mpango huu

Soma Biblia Kila Siku 03/2024

Soma Biblia Kila Siku 03/ 2024 ni mpango mzuri wa kusoma Biblia kila siku sehemu kwa sehemu kwa mwezi wa Machi pamoja na maelezo mafupi ya kukusaidia kutafakari somo ulilosoma. Katika mpango huu utasoma zaidi kitabu cha ...

More

Tungependa kuwashukuru Soma Biblia kwa kutoa mpango huu. Kwa habari zaidi, tafadhali tembelea: https://www.somabiblia.or.tz/

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha