Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Maelezo ya mpango

Soma Biblia Kila Siku 03/2024Mfano

Soma Biblia Kila Siku 03/2024

SIKU 3 YA 31

Sisi je! tutapataje kupona, tusipojali wokovu mkuu namna hii?Hili ni swali muhimu. Jibu ni kwamba hatuwezi kupona. Watu ambao hawakutii ujumbe ulioletwa kwao na malaika, walipata adhabu iliyowastahili. Dhambi ya kutokujali neno la Mungu itawaangamiza wengi. Yesu amefanya wokovu mkuu toka utawala wa Shetani na maangamizo ya milele. Mungu alithibitisha wokovu huo kwa ishara na kwa Roho wake Mtakatifu. Mwito wa kujali wokovu huu mkuu ni mwito wa zaidi ya kutii, yaani kuupokea na kuuishia.

Andiko

siku 2siku 4

Kuhusu Mpango huu

Soma Biblia Kila Siku 03/2024

Soma Biblia Kila Siku 03/ 2024 ni mpango mzuri wa kusoma Biblia kila siku sehemu kwa sehemu kwa mwezi wa Machi pamoja na maelezo mafupi ya kukusaidia kutafakari somo ulilosoma. Katika mpango huu utasoma zaidi kitabu cha ...

More

Tungependa kuwashukuru Soma Biblia kwa kutoa mpango huu. Kwa habari zaidi, tafadhali tembelea: https://www.somabiblia.or.tz/

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha