Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Maelezo ya mpango

Kubaki Katika KristoMfano

Kubaki Katika Kristo

SIKU 1 YA 5

Maelezo ya Mpango

Kubaki Ndani ya Kristo

Usemi kukaa au kubaki ndani ya Kristo, mara nyingi huchanganya wasomi wa biblia wasielewe, kana kwamba ni fumbo au uzoefu usiyoweza kueleweka. Lakini katika kitabu cha Yohana 15:1-17, Kristo anatuwezesha kuelewa kwamba kumbe kubaki ndani yake siyo fumbo isiyoweza kueleweka.

Katika kifungu hiki, kwanza, Kristo anatuwezesha kuelewa maana ya kubaki ndani yake. Pili, Kristo anatuwezesha kuelewa taratibu zinazochangia kuimarisha kubaki au kukaa ndani yake. Tatu, Kristo, anafafanua alama tatu zinazotutambulisha kama tupo ndani yake.

siku 2

Kuhusu Mpango huu

Kubaki Katika Kristo

Katika kifungu hiki, kwanza, Kristo anatuwezesha kuelewa maana ya kubaki ndani yake. Pili, Kristo anatuwezesha kuelewa taratibu zinazochangia kuimarisha kubaki au kukaa ndani yake. Tatu, Kristo, anafafanua alama tatu zin...

More

Tungependa kuwashukuru Emmanuel Kwasi Amoafo kwa kutoa mpango huu. Kwa habari zaidi, tafadhali tembelea: https://returningtothegospel.com/

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha