Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Maelezo ya mpango

Soma Biblia Kila Siku Septemba 2022Mfano

Soma Biblia Kila Siku Septemba 2022

SIKU 6 YA 30

Paulo alimwonyesha mtume Petro unafiki wake. Alimwonyesha kwamba sisi sote twahesabiwa haki kwa njia ya imani wala si kwa njia ya sheria. Kujitenga kwa Petro na wengine kutokana na asili yao ya Kiyahudi, ni kinyume cha kuhesabiwa haki kwa njia ya imani. Hiyo haina maana kwamba tuendelee dhambini. Paulo amefafanua zaidi jambo hili anaposema, Kwa njia ya sheria naliifia sheria ili nimwishie Mungu (m.19). Hapa Paulo anaonesha kuwa, aliuawa na sheria, yaani ilimwonyesha ameshindwa kabisa kuishika. Ilifanya hivyo ili apate uhai katika kuhesabiwa haki kwa imani. Twafanya mema, kwa sababu tumeona mema ya Mungu!

siku 5siku 7

Kuhusu Mpango huu

Soma Biblia Kila Siku Septemba 2022

Soma Biblia Kila Siku Septemba/2022 ni mpango wa kusoma Biblia sehemu kwa sehemu kila siku kwa mwezi wa Septemba pamoja na maelezo mafupi yatakayokusaidia kuelewa kwa urahisi na kuendelea kutafakari neno la Mungu uliloso...

More

Tungependa kuwashukuru Soma Biblia kwa kutoa mpango huu. Kwa habari zaidi, tafadhali tembelea: http://www.somabiblia.or.tz/

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha