Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Maelezo ya mpango

Soma Biblia Kila Siku Septemba 2022Mfano

Soma Biblia Kila Siku Septemba 2022

SIKU 30 YA 30

Hagai anatoa ujumbe wa kumtia moyo Zerubabeli. Huyu alikuwa mzao wa Daudi, wa mbari ya kifalme ya waliokuwa wametawala Yerusalemu. Anafafanishwa na pete ya mhuri, Nitakutwaa wewe, Ee Zerubabeli, mtumishi wangu, mwana wa Shealtieli, nami nitakufanya kuwa kama pete yenye muhuri; kwa kuwa nimekuchagua (m.23). Hiyo ilitumiwa na mfalme kutia sahihi barua na kudhamini agano. Hivyo Zerubabeli ni mteule wa Mungu. Kwa njia yake yeye, licha ya kujenga upya taifa la Israeli, Mungu pia atapindua mataifa yote na kujenga ufalme wake katika ulimwengu wote. Unabii huu ulitimia na kupata maana yake yote katika Yesu aliye Masihi wa mbari ya Daudi.

siku 29

Kuhusu Mpango huu

Soma Biblia Kila Siku Septemba 2022

Soma Biblia Kila Siku Septemba/2022 ni mpango wa kusoma Biblia sehemu kwa sehemu kila siku kwa mwezi wa Septemba pamoja na maelezo mafupi yatakayokusaidia kuelewa kwa urahisi na kuendelea kutafakari neno la Mungu uliloso...

More

Tungependa kuwashukuru Soma Biblia kwa kutoa mpango huu. Kwa habari zaidi, tafadhali tembelea: http://www.somabiblia.or.tz/

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha