Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Maelezo ya mpango

Soma Biblia Kila Siku Septemba 2022Mfano

Soma Biblia Kila Siku Septemba 2022

SIKU 8 YA 30

Jana tuliona thamani ya imani. Leo tunapewa mfano wa Ibrahimu. Alihesabiwa haki kama sisi. Kwa hiyo wale walio wa imani, hao ndio wana wa Ibrahimu (m.7). Na walio wa imani hubarikiwa pamoja na Ibrahimu aliyekuwa mwenye imani (m.9). Mbona si hivyo na wale wanaojitahidi kushika sheria, bali wamelaaniwa (m.10a)? Jibu lake ni kwamba amelaaniwa kila mtu asiyedumu katika yote yaliyoandikwa katika kitabu cha torati (m.10b)! Hatuna uweza wa kushika torati (= sheria ya Mungu). Tunakumbushwa kuwa, Kristo aliingia chini ya laana ya torati ili sisi tukombolewe kwa imani (m.13-14).

siku 7siku 9

Kuhusu Mpango huu

Soma Biblia Kila Siku Septemba 2022

Soma Biblia Kila Siku Septemba/2022 ni mpango wa kusoma Biblia sehemu kwa sehemu kila siku kwa mwezi wa Septemba pamoja na maelezo mafupi yatakayokusaidia kuelewa kwa urahisi na kuendelea kutafakari neno la Mungu uliloso...

More

Tungependa kuwashukuru Soma Biblia kwa kutoa mpango huu. Kwa habari zaidi, tafadhali tembelea: http://www.somabiblia.or.tz/

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha