Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Maelezo ya mpango

Soma Biblia Kila Siku Juni/2022Mfano

Soma Biblia Kila Siku Juni/2022

SIKU 3 YA 30

Mungu Baba yetu hutupenda, kwa hiyo hutupa yale tumwombayo. Yesu Kristo anasema,Mkimwomba Baba neno lo lote atawapa kwa jina langu(Yn 16:23b). Kwa maombi, Mungu hutupa nguvu kushinda majaribu na pingamizi za kazi yake kwa njia ya Roho Mtakatifu. Paulo anahamasisha Wafilipi wamwombee aruzukiwe hivyo ili aendelee kuhubiri Injili. Anajua kifo kwake ni lazima na anakifurahia akaishi na Kristo. Lakini kwa kitambo angependa aishi duniani kuwaimarisha Wafilipi. Msomaji, unaonaje bidii yako kueneza Injili uwapo duniani? Waona kuwa “kuishi kwako ni Kristo”?

siku 2siku 4

Kuhusu Mpango huu

Soma Biblia Kila Siku Juni/2022

Soma Biblia Kila Siku Juni/2022 ni mpango wa kusoma Biblia sehemu kwa sehemu kila siku kwa mwezi wa Juni pamoja na maelezo mafupi yatakayokusaidia kuelewa kwa urahisi na kuendelea kutafakari neno la Mungu ulilosoma kwa s...

More

Tungependa kuwashukuru Soma Biblia kwa kutoa mpango huu. Kwa habari zaidi, tafadhali tembelea: http://www.somabblia.or.tz/

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha