Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Maelezo ya mpango

Soma Biblia Kila Siku Januari 2021Mfano

Soma Biblia Kila Siku Januari 2021

SIKU 3 YA 31

Paulo alizijua changamoto zilizolikabili kanisa la Wakorintho. Anajua nguvu yao, Kwa kuungana na Kristo wametajirishwa katika kila kitu. Anajua pia udhaifu wao, Badala ya kutumika kulinufaisha kanisa, karama zao zikawa sababu ya majivuno na kubaguana. Kwa hiyo anawatia moyo kwa mafanikio ya kiroho waliyoyapata. Anatambua karama zao. Lakini anawakumbusha pia kuwa karama tulizopewa zitumike kumwinua Kristo aliyekufa na kufufuka. Kilichotuokoa ni imani katika Kristo na si karama.

siku 2siku 4

Kuhusu Mpango huu

Soma Biblia Kila Siku Januari 2021

Soma Biblia Kila Siku Januari 2021 ni mpango mzuri wa kusoma Biblia kila siku sehemu kwa sehemu hasa katika kitabu cha 1 Wakorintho. Mpango huu una maelezo mafupi yatakayokusaidia kuelewa zaidi Neno la Mungu. Karibu kuji...

More

Tungependa kushukuru kwa kutoa mpango huu. Kwa habari zaidi tembelea: http://www.somabiblia.or.tz

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha