Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Maelezo ya mpango

Soma Biblia Kila Siku Januari 2021Mfano

Soma Biblia Kila Siku Januari 2021

SIKU 8 YA 31

Mtume Paulo alijua Wakorintho walivyosifu hekima ya binadamu. Licha ya taaluma yake, Paulo alitegemea uongozi na nguvu ya Roho Mtakatifu katika kutangaza Injili iokoayo. Ujumbe ulikuzwa na kurahisishwa na uweza wa Mungu. Watumishi wa Mungu, hatuko peke yetu kazini. Msaada wetu upo, tukiongozwa na Roho Mtakatifu. Tuhubiripo Injili ya Kristo tujiandae vema, lakini tusitegemee ufasaha wa lugha. Tumwombe Roho Mtakatifu atafsiri neno tunalolihubiri ili imani itegemee nguvu ya Mungu.

siku 7siku 9

Kuhusu Mpango huu

Soma Biblia Kila Siku Januari 2021

Soma Biblia Kila Siku Januari 2021 ni mpango mzuri wa kusoma Biblia kila siku sehemu kwa sehemu hasa katika kitabu cha 1 Wakorintho. Mpango huu una maelezo mafupi yatakayokusaidia kuelewa zaidi Neno la Mungu. Karibu kuji...

More

Tungependa kushukuru kwa kutoa mpango huu. Kwa habari zaidi tembelea: http://www.somabiblia.or.tz

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha