Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Maelezo ya mpango

Soma Biblia Kila Siku Januari 2021Mfano

Soma Biblia Kila Siku Januari 2021

SIKU 4 YA 31

Mabishano yahusuyo karama, ubatizo na mgawanyiko kimadhehebu na watumishi yapo hata leo. Wakristo wanajitambulisha kidhehebu, kwa huduma fulani au jina la mtumishi maarufu. Huu si wito wala kiini cha utume wetu. Bila kujali ulibatizwa namna gani, huduma uliyo nayo na dhehebu lako; je, unamwamini Yesu Kristo aliye msingi wa imani na kanisa? Ugomvi na kubaguana kwa Wakristo unafisha nguvu ya ushuhuda wetu. Mtazame Kristo, si karama, mtumishi wala dhehebu lako.

siku 3siku 5

Kuhusu Mpango huu

Soma Biblia Kila Siku Januari 2021

Soma Biblia Kila Siku Januari 2021 ni mpango mzuri wa kusoma Biblia kila siku sehemu kwa sehemu hasa katika kitabu cha 1 Wakorintho. Mpango huu una maelezo mafupi yatakayokusaidia kuelewa zaidi Neno la Mungu. Karibu kuji...

More

Tungependa kushukuru kwa kutoa mpango huu. Kwa habari zaidi tembelea: http://www.somabiblia.or.tz

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha