Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Maelezo ya mpango

Soma Biblia Kila Siku Januari 2021Mfano

Soma Biblia Kila Siku Januari 2021

SIKU 2 YA 31

Mtume Paulo anawasalimu Wakristo wa Korintho kwa kujitambulisha yeye na wito wake alioupokea kwa Yesu Kristo. Katika utume wake anawashirikisha na wengine walioitwa katika kazi takatifu. Bila kujali tofauti za kimaisha zilizomo katika kanisa, Wakristo wote wanaitwa kuwa watakatifu. Utakatifu ndio kuitika kwa imani wito mtakatifu unaotuita na kumkubali Bwana wetu kututakasa. Ni neema ya Mungu kupokea wito huu mwema, na inafanya amani ya Kristo kutawala maisha yetu yote.

siku 1siku 3

Kuhusu Mpango huu

Soma Biblia Kila Siku Januari 2021

Soma Biblia Kila Siku Januari 2021 ni mpango mzuri wa kusoma Biblia kila siku sehemu kwa sehemu hasa katika kitabu cha 1 Wakorintho. Mpango huu una maelezo mafupi yatakayokusaidia kuelewa zaidi Neno la Mungu. Karibu kuji...

More

Tungependa kushukuru kwa kutoa mpango huu. Kwa habari zaidi tembelea: http://www.somabiblia.or.tz

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha