Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Maelezo ya mpango

Soma Biblia Kila Siku 08/2020Mfano

Soma Biblia Kila Siku 08/2020

SIKU 3 YA 31

Yesu anatufundisha juu ya ndoa. Je, tutakubali kufuata neno lake? Daima ni baraka kwetu kulitii neno lake la ukweli. Wanafunzi waliguswa na wakawa na hofu. Maana wakati ule Wayahudi walijiona kuwa na uhuru sana katika masuala ya ndoa. Je, hata Watanzania wanajiona hivyo? Yesu ana mikazo mitatu: 1.Kufunga ndoa ni jambo jema lenye baraka. Ni mapenzi ya Mungu. 2.Uaminifu mpaka kufa ni msingi wa ndoa. 3.Kufunga ndoa zaidi ya mara moja haina kibali mbele ya Mungu. Kwa hiyo haiwezi kubarikiwa kanisani.

Andiko

siku 2siku 4

Kuhusu Mpango huu

Soma Biblia Kila Siku 08/2020

Soma Biblia Kila Siku 08/20 ni mpango mzuri wa kusoma Biblia kila siku sehemu kwa sehemu hasa katika kitabu cha Mathayo na Ezekieli na 2 Wakorintho. Mpango huu una maelezo mafupi yatakayokusaidia kuelewa zaidi Neno la Mu...

More

Tunapenda kumshukuru Soma Biblia kwa kutoa mpango huu. Kwa habari zaidi, tafadhali tembelea: http://www.somabiblia.or.tz

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha