Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Maelezo ya mpango

Soma Biblia Kila Siku 08/2020Mfano

Soma Biblia Kila Siku 08/2020

SIKU 7 YA 31

Leo jambo kuu ni hili: kuingia Mbinguni ni kwa neema tu. Ujira wetu yaani uzima wa milele ni uleule mmoja kwa wote, na hautolewi kutokana na ustahili wetu bali kwa sababu Mungu ni mwema. Wanafunzi waliuliza: Tutapata nini basi?(19:27)Kwa hadithi hii Yesu anatuonya kwamba hata kama tumemtumikia kwa miaka mingi kwa uaminifu tusiwe tunaanza kujivuna na kufikiri tunastahili kuliko wengine. Tusiwaonee wiwu waliochelewa kumpokea Yesu, bali tufurahi kwa sababu sisi wenyewe tumeokolewa! Msifurahi kwa vile pepo wanavyowatii; bali furahini kwa sababu majina yenu yameandikwa mbinguni(Lk 10:20).

siku 6siku 8

Kuhusu Mpango huu

Soma Biblia Kila Siku 08/2020

Soma Biblia Kila Siku 08/20 ni mpango mzuri wa kusoma Biblia kila siku sehemu kwa sehemu hasa katika kitabu cha Mathayo na Ezekieli na 2 Wakorintho. Mpango huu una maelezo mafupi yatakayokusaidia kuelewa zaidi Neno la Mu...

More

Tunapenda kumshukuru Soma Biblia kwa kutoa mpango huu. Kwa habari zaidi, tafadhali tembelea: http://www.somabiblia.or.tz

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha