Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Maelezo ya mpango

Soma Biblia Kila Siku 08/2020Mfano

Soma Biblia Kila Siku 08/2020

SIKU 8 YA 31

Suala la mshahara kwa mfuasi wa Yesu linaendelea kuwababaisha wanafunzi. Hasa ahadi ya Yesu kwamba watatawala naye katika ufalme wake. Nani ataonekana kuwa mkuu kati ya wanafunzi siku ile? Nani atakaa karibu zaidi na Yesu? Wana wa Zabedayo (Yakobo na Yohana) walisaidiwa na mama yao. Lakini Yesu anakataa kabisa mawazo hayo. Nafasi yao kama mitume walipewa kwa neema. Wasiwe wanatumia nafasi hiyo kwa ajili ya kufikiria mambo ya cheo bali watumie nguvu zao na mawazo yao kwa lengo la kuwatumikia wengine!

siku 7siku 9

Kuhusu Mpango huu

Soma Biblia Kila Siku 08/2020

Soma Biblia Kila Siku 08/20 ni mpango mzuri wa kusoma Biblia kila siku sehemu kwa sehemu hasa katika kitabu cha Mathayo na Ezekieli na 2 Wakorintho. Mpango huu una maelezo mafupi yatakayokusaidia kuelewa zaidi Neno la Mu...

More

Tunapenda kumshukuru Soma Biblia kwa kutoa mpango huu. Kwa habari zaidi, tafadhali tembelea: http://www.somabiblia.or.tz

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha