Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Maelezo ya mpango

Kukumbuka yale yote Mungu ametenda.Mfano

Remembering All God Has Done

SIKU 5 YA 5

Kama umemkubali Yesu kama mwokozi wa maisha yako, basi wewe ni kiumbe kipya. Ya kale yameisha na mapya yamefika Katika wiki iliyopita umekua ukitazama maisha yako ya kale kukumbuka nguvu za Mungu, uaminifu wake, wale Mungu amewatumia kukujenga na sadaka ya mwisho Kristo alitoa kwa ajili yetu. Leo, tafakari neno linalopatikana katika 2 Wakorintho 5:11-21 kuhusu nguvu ya ukombozi ya msamaha wa Mungu. Hakuna kitu chenye nguvu, uaminifu, sadaka na jambo la kubadilisha maisha kama msamaha Mungu ametupatia kupitia mwanawe Yesu Kristo. Leo kumbuka mabadiliko katika maisha uliyozoea kupitia msamaha wa Mungu Kabisa sahau maisha yako ya kale na kumbuka siku maisha yako yalibadilika milele. Msifu Mungu na mshukuru kwa maisha mapya ndani ya Yesu.
siku 4

Kuhusu Mpango huu

Remembering All God Has Done

Ni tabia yetu ya asili kutazamia siku zijazo lakini tusisahau kamwe siku zilizopita. Mpango huu umechapishwa kwa ajili yako katika siku 5 zijazo kukukumbusha yote ambayo Mungu amekutendea katika kukutengeneza kuwa ulivyo...

More

We would like to thank Life.Church for providing this plan. For more information, please visit: www.life.church

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha