Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Maelezo ya mpango

Kukumbuka yale yote Mungu ametenda.Mfano

Remembering All God Has Done

SIKU 3 YA 5

Zaburi 91 ni Zaburi kuhusu uaminifu wa Mungu. Katika Zaburi hii, tunasoma kwamba Mungu ni kimbilio letu, Yeye ni ngome yetu, anatuokoa na kutulinda. Zaburi hii inatufahamisha ukweli huu: Mungu ni mwaminifu pasipojali mazingira Yupo katika nyakati nzuri na katika nyakati mbaya Yupo hata unapojihisi kama hayupo. Safari ya kila mmoja wetu ni tofauti kadri tunapozidi kukua ndani ya Kristo, lakini uaminifu wa Mungu ni sawa daima. Je umewahi ushuhudia uaminifu wa Mungu katika maisha yako? Chukua wakati leo kukumbuka uaminifu wake na vile umekuokoa katika nyakati tofauti tofauti maishani mwako. Mshukuru Mungu kwa uaminifu wake na jifariji kwa kujua daima yu pamoja nawe
siku 2siku 4

Kuhusu Mpango huu

Remembering All God Has Done

Ni tabia yetu ya asili kutazamia siku zijazo lakini tusisahau kamwe siku zilizopita. Mpango huu umechapishwa kwa ajili yako katika siku 5 zijazo kukukumbusha yote ambayo Mungu amekutendea katika kukutengeneza kuwa ulivyo...

More

We would like to thank Life.Church for providing this plan. For more information, please visit: www.life.church

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha