Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Maelezo ya mpango

Kukumbuka yale yote Mungu ametenda.Mfano

Remembering All God Has Done

SIKU 2 YA 5

Moja wa njia nyingi Mungu hutujenga ni kupitia hekima za watu wengine kwa Hekima yake na mafundisho yanaoneshwa kupitia watu tunaowatazamia. 1 Petro 5:1-11 ni moja wa sura nyingi zinazositiza umuhimu wa kuwashauri wengine na kuwa tayari kutumika na Mungu kuwaelekeza wengine katika mfano wake. Ni washauri wapi katika maisha yako wamekusaidia kufika nafasi uliyopo leo katika uhusiano wako na Kristo? Inawekua mshauri, mwalimu, muhubiri, familia, rafiki wa karibu ambaye amewezeka hekima, ujuzi na uzoefu katika maisha yako Chukua muda wa kukumbuka watu hao muhimu Mungu amewaweka katika maisha yako Kamwe usisahau uwekezaji wao katika maisha yako.
siku 1siku 3

Kuhusu Mpango huu

Remembering All God Has Done

Ni tabia yetu ya asili kutazamia siku zijazo lakini tusisahau kamwe siku zilizopita. Mpango huu umechapishwa kwa ajili yako katika siku 5 zijazo kukukumbusha yote ambayo Mungu amekutendea katika kukutengeneza kuwa ulivyo...

More

We would like to thank Life.Church for providing this plan. For more information, please visit: www.life.church

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha