Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Maelezo ya mpango

Kukumbuka yale yote Mungu ametenda.Mfano

Remembering All God Has Done

SIKU 1 YA 5

Mungu ni Mungu mkuu Hakuna lisilowezekana Kwake Anaweza kuhamisha milima, kufanya jua lisimame na kuponya wagonjwa. Katika Yoshua sura ya 4, tunasoma vile Mungu alikamilisha kazi kuu ya kuweleta waisraeli katika nchi ya ahadi. Mungu aliwaongoza Waisraeli kutoka utumwa hadi ndani ya uhuru kama alivyowahaidi. Kwa sababu ya ukuu wa tendo alilotenda, Mungu hakutaka Waisraeli wasahau kamwe yale aliyowatendea Mungu alitaka Waisraeli wakumbuke milele muujiza aliowatendea na jinsi alivyo mkuu na mwenye nguvu Fikiria kwa mda Mungu amefanya mambo fulani makuu katika maisha yako Huenda amefanya muujiza wa uponyaji au kukunusuru kutoka minyororo ya utumizi wa mihadarati hadi ndani ya nchi yako ya ahadi. Chukua mda leo kukumbuka makuu Mungu amekutendea. Msifu na jitolee kwamba kamwe utasahau makuu aliyokutendea.
siku 2

Kuhusu Mpango huu

Remembering All God Has Done

Ni tabia yetu ya asili kutazamia siku zijazo lakini tusisahau kamwe siku zilizopita. Mpango huu umechapishwa kwa ajili yako katika siku 5 zijazo kukukumbusha yote ambayo Mungu amekutendea katika kukutengeneza kuwa ulivyo...

More

We would like to thank Life.Church for providing this plan. For more information, please visit: www.life.church

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha