Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Maelezo ya mpango

Oswald Chambers: Furaha- Nguvu katika BwanaMfano

Oswald Chambers: Joy - Strength In The Lord

SIKU 9 YA 30

Maandiko yamejaa ushauri kufurahi, kumsifu Mungu, kuimba kwa sauti kwa furaha; lakini wakati ambapo una sababu ya kufurahi, kusifu, kuimba kwa sauti ndio wakati pekee ambao haya vitu vinaweza kufanywa kwa dhati. Katika hali tunayoweza kuona na kuhisi mgonjwa hana tumaini maishani, na vivyo hivyo aliyeugua kiroho hawezi kuwa na furaha wa dhati au tumaini. Kuna hofu ambao unaiba raha na furaha isiyosemezeka ambayo Mungu anatakia watoto wake wote mpaka roho unapoponywa.



Mtu ataokolewa kutoka kuvunjika moyo ikiwa tu Mungu atahudumia maisha yake. Uchangamfu unatokana pekee na kuishi kwa amani na furaha ya msamaha na fadhili ya Mungu.



Maswali ya Kutafakari: Mbona ninafurahi? Nimeponwa kutoka ugonjwa upi—wa kiroho au kimwili? Nimeokolewa kutoka kuvunjika moyo kupi? Nimekombolewa kutoka hofu ipi?



Dondoo imetoka "Workmen of God", © Discovery House Publishers
siku 8siku 10

Kuhusu Mpango huu

Oswald Chambers: Joy - Strength In The Lord

Gundua hekima ya Oswald Chambers, mwandishi wa "My Utmost for His Highest", katika mkusanyiko huu wa hazina ambao unatoa ufahamu kuhusu furaha. Kila somo lina dondoo kutoka Chambers na maswali ya kutafakari kibinafsi. Ak...

More

We would like to thank Discovery House Publishers for providing this plan. For more information, please visit: www.utmost.org

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha