Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Maelezo ya mpango

Oswald Chambers: Furaha- Nguvu katika BwanaMfano

Oswald Chambers: Joy - Strength In The Lord

SIKU 30 YA 30

Tumshukuru Mungu, furaha ya Bwana ni kitu ambacho tunaweza kushuhudia wakati huu, na ni zaidi ya hisia yoyote ambayo tunaweza kuhisi, kwa sababu furaha ya Bwana inatuweka katika fahamu ya Mungu, na heshima iliyo hatarini mwilini mwetu ni utukufu wa Mungu. Tumefahamu kwamba Mwana wa Mungu ameumbwa ndani yetu kwa Ukombozi wake wema? Huu ni utukufu wa mtakatifu hapa na sasa—utukufu wa utakatifu wa kweli ambao unadhihirika kwa kweli kwa maisha yake.



Mwenyezi Mungu akawa mdhaifu wa kupindukia, yaani Kitoto kichanga. Mtakatifu aliyekomaa ni kama mtoto mdogo, sahili na mwenye furaha. Endelea kuishi maisha ambayo Mungu angependa uishi na utakuwacha kuwa kama kijana zaidi badala ya kukua na kuwa mzee. Ukimruhusu Mungu afanye atakavyo utafanywa upya. Ikiwa unahisi umezeeka sana, basi "zaliwa mara ya pili" na fanya zaidi juu yake.



Maswali ya Kuafakari: Je, tabia zangu zinaonyesha utakatifu wa Kristo? Mungu anaumbwa ndani yangu kwa njia zipi? Niko tayari kuwa mdhaifu ili nipate furaha kama ya mtoto?



Dondoo limetoka "The Psychology of Redemption", © Discovery House Publishers
siku 29

Kuhusu Mpango huu

Oswald Chambers: Joy - Strength In The Lord

Gundua hekima ya Oswald Chambers, mwandishi wa "My Utmost for His Highest", katika mkusanyiko huu wa hazina ambao unatoa ufahamu kuhusu furaha. Kila somo lina dondoo kutoka Chambers na maswali ya kutafakari kibinafsi. Ak...

More

We would like to thank Discovery House Publishers for providing this plan. For more information, please visit: www.utmost.org

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha