Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Maelezo ya mpango

Oswald Chambers: Furaha- Nguvu katika BwanaMfano

Oswald Chambers: Joy - Strength In The Lord

SIKU 3 YA 30

Watu wakiasi Biblia, Mungu ni jina tu ambalo linabandikwa kwa vitu ambavyo vinanufaisha watu—kwamba Mungu na Yesu Kristu na Roho Mtakatifu wanafaa kutubariki pekee, kuendeleza maslahi yetu. Tunapofika Agano Jipya tunapata dhana kinyume, kwamba kwa kufanywa upya tunaletwa katika maelewano na umoja na Mungu hadi tunagundua kwa furaha kuu kwamba tunafaa kutumikia maslahi yake.



Ikiwa tutabaki katika mwanga na Mungu, maisha yetu yatakuwa yale ya mtoto, rahisi na yenye furaha kabisa. Inatosha kwa mtoto kujua kwamba baba yake angependa afanye vitu fulani na anajua kutegemea nguvu iliyoshinda yake.



Maswali ya Kutafakari: Ninamtumia Mungu kuendeleza maslahi yangu ama namtumikia ili kuendeleza maslahi yake? Ninamtumia Biblia kuthibitisha maoni yangu ama kutafuta nilipokosea? Nina furaha kugundua nilipokosea ili kurekebishwa?



Dondoo zimetoka "The Philosophy of Sin", © Discovery House Publishers
siku 2siku 4

Kuhusu Mpango huu

Oswald Chambers: Joy - Strength In The Lord

Gundua hekima ya Oswald Chambers, mwandishi wa "My Utmost for His Highest", katika mkusanyiko huu wa hazina ambao unatoa ufahamu kuhusu furaha. Kila somo lina dondoo kutoka Chambers na maswali ya kutafakari kibinafsi. Ak...

More

We would like to thank Discovery House Publishers for providing this plan. For more information, please visit: www.utmost.org

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha