Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Maelezo ya mpango

Kufuata AmaniMfano

Pursuing Peace

SIKU 7 YA 7

Amani Kwabaadaye

Je, unakuwa na amani kuhusu mambo itakaokuja? Usiku pasipo kusinzia, shida, na mashaka zinaweza kuonyesha namna nyingine. Masauti mingi zinatupigia kelele. Kwa ngambo moja, "Hakikisha uzuri yako." Sauti ingine inasema, "Unapaswa kuona haya." Tunasikia, "Hakuna mwenye moyo wa kupenda," na kwengine, " Pata kuwa mtu aliyefaulu, mwenye kupendwa na wengi, na mwenye mamlaka."

Lakini chini ya hoihoi kunakuwa kivumi, "Mupendwa wangu, Nina kubarikiya." Hiyo ni sauti tunahitaji kusikia kuliko zote. Ni lazima tuache kutegemea makusudi yetu na kuaminia Mungu tu, hivi tupate amani kwa matokeo Mungu aliyetuwekea.

Methali ya Afrika:

Mtu mwenye kutaka sana makuu hataweza kusinzia kwa amani. ~ Methali ya Chad

Maombi ni msingi ya vyote tunavyofanya. Ujiunge na Tearfund, na elfu za makanisa katika dunia nzima, ukiomba maombi pamoja nasi wakati tunatafuta amani ya Mungu na kuponya watu katika ulimwengu wa mateso.

Kitendo:

Andika mradi yako ya miaka tano yakuonyesha mambo yote uanyapenda kufanya katika wakati huu. Kufuata andika vile unavyohitaji kupokea kwa Mungu kusudi kufaulu katika mapenzi yako na mambo unayaweza kuacha au mambo unaysikia unahitaji kutolea kwake.

Andiko

siku 6

Kuhusu Mpango huu

Pursuing Peace

Tearfund inatafuta uongozi wa Mungu ili iwe sauti ya nguvu juu ya amani, mahusiano kurudishwa, na upatanifu kati ya jumuiya mbalimbali katika dunia. Somo hili la siku 7 lina matendo ya kila siku ili urudishe mahusiano ya...

More

Tungependa kushukuru Tearfund kwa kutoa mpango huu. Kwa habari zaidi, tafadhali tembelea:http://www.tearfund.org/yv

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha