Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Maelezo ya mpango

Soma Biblia Kila Siku Juni/2022Mfano

Soma Biblia Kila Siku Juni/2022

SIKU 26 YA 30

Mfalme Farao alikuwa mtawala mkubwa na tajiri sana. Kati ya watumishi mbalimbali waliohudumia ni huyu mwokaji aliyeoka mikate pamoja na mnyweshaji ambaye alikuwa mtunza vinywaji mkuu. Hatujui ni makosa gani waliyofanya. Lakini ni watu muhimu sana, maana kwa njia ya kinywaji au mkate maadui wa mfalme wangeweza kumwua kwa kutumia sumu! Kwa kuwapa ndoto, Mungu akamfanya Yusufu ajulikane kama mtu ajuaye kufasiri ndoto kwa uwezo wa Mungu (m.8). Kwa uwezo wa Mungu akafasiri ndoto hiyo (m.12). Baadaye ilimfungulia njia. Katika 41:14 tunasoma,Farao akapeleka watu, akamwita Yusufu, wakamleta upesi kutoka gerezani. Akanyoa, akabadili nguo zake, na kuingia kwa Farao.

siku 25siku 27

Kuhusu Mpango huu

Soma Biblia Kila Siku Juni/2022

Soma Biblia Kila Siku Juni/2022 ni mpango wa kusoma Biblia sehemu kwa sehemu kila siku kwa mwezi wa Juni pamoja na maelezo mafupi yatakayokusaidia kuelewa kwa urahisi na kuendelea kutafakari neno la Mungu ulilosoma kwa s...

More

Tungependa kuwashukuru Soma Biblia kwa kutoa mpango huu. Kwa habari zaidi, tafadhali tembelea: http://www.somabblia.or.tz/

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha