Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Maelezo ya mpango

Soma Biblia Kila Siku Mei 2021Mfano

Soma Biblia Kila Siku Mei 2021

SIKU 6 YA 31

Akawafundisha (m.13). Ni kweli kwamba Yesu alifanya miujiza mingi na kuwaponya wengi. Hata hivyo jambo la kwanza na la msingi kwa Yesu kila wakati lilikuwa ni kuhubiri na kufundisha (m.2, Wakakusanyika watu wengi, isibaki nafasi hata mlangoni; [Yesu] akawa akisema nao neno lake). Zaidi ya yote alitaka watu wapone kiroho ili wapate uzima wa milele! Siku hiyo Lawi wa Alfayo alipata kupona kiroho. Yesu alipomwita akaitika. Akamfuata na kumpokea kama Mwokozi wake! Fundisho: Sikuja kuwaita wenye haki, bali wenye dhambi (m.17). Kama wewe ni mwenye dhambi unaitwa na Yesu! Anataka kukuokoa!

siku 5siku 7

Kuhusu Mpango huu

Soma Biblia Kila Siku Mei 2021

Soma Biblia Kila Siku Mei 2021 ni mpango mzuri wa kusoma Biblia kila siku sehemu kwa sehemu hasa katika kitabu cha Marko na Ayubu. Mpango huu una maelezo mafupi yatakayokusaidia kuelewa zaidi Neno la Mungu. Karibu kujiun...

More

Tungependa Soma Biblia kwa kutoa mpango huu. Kwa habari zaidi, tafadhali tembelea: http://www.somabiblia.or.tz

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha