Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Maelezo ya mpango

Soma Biblia Kila Siku 11/2020Mfano

Soma Biblia Kila Siku 11/2020

SIKU 5 YA 30

Huenda unapambana na dhambi maishani mwako. Huenda umeshindwa kuwa na tabia nzuri mbele ya mwajiri wako kama tulivyoona jana. Basi, sikiliza kwa makini habari njema ya leo: Yeyealizichukua dhambi zetu katika mwili wake juu ya mti (msalaba); ili, tukiwa wafu kwa mambo ya dhambi, tuwe hai kwa mambo ya haki.Yaani, kwa kifo cha Yesu umekombolewa na nguvu za dhambi na Shetani! Kila unapomshukuru Yesu kwa ushindi huu, ndipo uvunjapo nguvu za giza na kupata nguvu ya Roho! Tafakari pia jinsi ukombozi na ushindi huo ulivyofafanuliwa katika Rum 6:6, Utu wetu wa kale ulisulibishwa pamoja naye, ili mwili wa dhambi ubatilike, tusitumikie dhambi tena; kwa kuwa yeye aliyekufa amehesabiwa haki mbali na dhambi.

siku 4siku 6

Kuhusu Mpango huu

Soma Biblia Kila Siku 11/2020

Soma Biblia Kila Siku 11/20 ni mpango mzuri wa kusoma Biblia kila siku sehemu kwa sehemu hasa katika kitabu cha Mathayo, Mwanzo na 1 Petro. Mpango huu una maelezo mafupi yatakayokusaidia kuelewa zaidi Neno la Mungu. Kari...

More

Tungependa kuishukuru Soma Biblia kwa kutoa mpango huu. Kwa habari zaidi, tafadhali tembelea: http://www.somabiblia.or.tz

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha