Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Maelezo ya mpango

Soma Biblia Kila Siku 11/2020Mfano

Soma Biblia Kila Siku 11/2020

SIKU 7 YA 30

Mtume Petro anawaagiza tena Wakristo wawe na mwenendo mwema! Kusudi la kuwa na mwenendo mwema ni: 1.Kupata maisha mema (m.10); 2. Kuwa karibu na Mungu (m.12); 3.Kumshuhudia Yesu Kristo mbele ya wasioamini (m.15-16). Nguvu ya kuishi maisha haya tutapataje? Mtakaseni Kristo Bwana mioyoni mwenu(m.14). Yaani, tuendelee kumkabidhi Yesu maisha yetu, maana tuko ndani yake (m.16 unasema juu ya mwenendo mwema katika Kristo). Tuendelee kukiri makosa yetu na kusafishwa katika damu yake. Tumwogope yeye kuliko binadamu.

siku 6siku 8

Kuhusu Mpango huu

Soma Biblia Kila Siku 11/2020

Soma Biblia Kila Siku 11/20 ni mpango mzuri wa kusoma Biblia kila siku sehemu kwa sehemu hasa katika kitabu cha Mathayo, Mwanzo na 1 Petro. Mpango huu una maelezo mafupi yatakayokusaidia kuelewa zaidi Neno la Mungu. Kari...

More

Tungependa kuishukuru Soma Biblia kwa kutoa mpango huu. Kwa habari zaidi, tafadhali tembelea: http://www.somabiblia.or.tz

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha