Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Maelezo ya mpango

Soma Biblia Kila Siku 08/2020Mfano

Soma Biblia Kila Siku 08/2020

SIKU 9 YA 31

Waliposikia ya kwamba Yesu anapita, walimwita(m.30). Bila shaka hao vipofu walikuwa wameisikia habari yake. Na waliyosikia yalizaa imani na tumani mioyoni mwao. Sasa siku hiyo ghafula Yesu alikuwa anapatikana na mara wakamwita, wala hawakujali maneno ya watu, bali walizidi kumwita hadi aliposikia na kusimama. Na Yesu kweli aliwahurumia na tangu siku ile wakawa wafuasi wake. Mtafuteni Bwana, maadamu anapatikana, Mwiteni, maadamu yu karibu;Mtu mbaya na aache njia yake, Na mtu asiye haki aache mawazo yake; Na amrudie Bwana, Naye atamrehemu; Na arejee kwa Mungu wetu, Naye atamsamehe kabisa(Isa 55:6-7). Je, baada ya kusaidiwa na Yesu ukawa mfuasi wake?

siku 8siku 10

Kuhusu Mpango huu

Soma Biblia Kila Siku 08/2020

Soma Biblia Kila Siku 08/20 ni mpango mzuri wa kusoma Biblia kila siku sehemu kwa sehemu hasa katika kitabu cha Mathayo na Ezekieli na 2 Wakorintho. Mpango huu una maelezo mafupi yatakayokusaidia kuelewa zaidi Neno la Mu...

More

Tunapenda kumshukuru Soma Biblia kwa kutoa mpango huu. Kwa habari zaidi, tafadhali tembelea: http://www.somabiblia.or.tz

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha