Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Maelezo ya mpango

Soma Biblia Kila Siku 1Mfano

Soma Biblia Kila Siku 1

SIKU 3 YA 31

Yohana alitumwa mahususi na Mungu kumshuhudia Mwana pekee wa Mungu, Yesu Kristo, aliye nuru halisi na anayeweza kumwangazia kila mtu ulimwenguni (m.9). Lakini jambo la ajabu ni kwamba huyu Kristo, Mwana wa Mungu, hata alipokuwa katika ulimwengu aliouumba mwenyewe, ulimwengu haukumtambua wala watu walio wake hawakumpokea (m.10-11). Je, wewe unamtambua na kumpokea huyu Neno? Na unapenda kufanyika mwana wa Mungu? Ni kwa kumwamini Yesu tu, ndipo tunafanyika kuwa wana wa Mungu (m.12).

Andiko

siku 2siku 4

Kuhusu Mpango huu

Soma Biblia Kila Siku 1

Soma Biblia Kila Siku 1 inakupa mpango wa kusoma Biblia kila siku sehemu kwa sehemu, hasa kutoka Injili ya Yohana, pamoja na maelezo juu ya somo hilo.

Tungependa kushukuru Soma Biblia kwa kutoa mpango huu. Kwa habari zaidi, tafadhali tembelea: http://www.somabiblia.or.tz

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha