Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Maelezo ya mpango

Soma Biblia Kila Siku 1Mfano

Soma Biblia Kila Siku 1

SIKU 2 YA 31

Neno tuliyesoma habari zake ni wa ajabu! Alikuwako tangu mwanzo pamoja na Mungu maana ni Mungu. Vitu vyote vilivyoumbwa viliumbwa kupitia kwake. Pasipo Neno kisingeumbwa chochote kilichoumbwa (m.3). Hebu fikiri pia ulimwengu ukiwa giza tupu! Maisha hayawezekani. Lakini sasa kwa sababu Neno ni nuru ya ulimwengu, maisha na uzima tele vyawezekana na kupatikana kwake. Je, huyu Neno ni nani hasa? Soma Yn 1:14. Mshike sana huyu Neno na Nuru ya ulimwengu upate uzima tele ulio ndani yake.

Andiko

siku 1siku 3

Kuhusu Mpango huu

Soma Biblia Kila Siku 1

Soma Biblia Kila Siku 1 inakupa mpango wa kusoma Biblia kila siku sehemu kwa sehemu, hasa kutoka Injili ya Yohana, pamoja na maelezo juu ya somo hilo.

Tungependa kushukuru Soma Biblia kwa kutoa mpango huu. Kwa habari zaidi, tafadhali tembelea: http://www.somabiblia.or.tz

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha