Yobu 36:24-26
Yobu 36:24-26 Biblia Habari Njema (BHN)
“Usisahau kuyasifu matendo yake; ambayo watu wameyashangilia. Watu wote wameona aliyofanya Mungu; binadamu huyaona kutoka mbali. Mungu ni mkuu mno hata hatuwezi kumjua; muda wa maisha yake hauchunguziki.
Shirikisha
Soma Yobu 36Yobu 36:24-26 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kumbuka kuitukuza kazi yake, Watu waliyoiimbia. Wanadamu wote wameitazama; Watu huiangalia kwa mbali. Tazama, Mungu ni mkuu, nasi hatumjui; Hesabu ya miaka yake haichunguziki.
Shirikisha
Soma Yobu 36