Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Ayu 36:24-26

Ayu 36:24-26 SUV

Kumbuka kuitukuza kazi yake, Watu waliyoiimbia. Wanadamu wote wameitazama; Watu huiangalia kwa mbali Tazama, Mungu ni mkuu, nasi hatumjui; Hesabu ya miaka yake haitafutiki.

Soma Ayu 36

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Ayu 36:24-26

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha