Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Ayubu 36:24-26

Ayubu 36:24-26 NEN

Kumbuka kuzitukuza kazi zake, ambazo watu wamezisifu katika wimbo. Wanadamu wote wameiona; watu wanaikazia macho kwa mbali. Tazama jinsi Mungu alivyo mkuu, kupita ufahamu wetu! Hesabu ya miaka yake haitafutiki.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Ayubu 36:24-26

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha