Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Yobu 36:24-26

Yobu 36:24-26 BHN

“Usisahau kuyasifu matendo yake; ambayo watu wameyashangilia. Watu wote wameona aliyofanya Mungu; binadamu huyaona kutoka mbali. Mungu ni mkuu mno hata hatuwezi kumjua; muda wa maisha yake hauchunguziki.

Soma Yobu 36

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Yobu 36:24-26

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha