1 Wafalme 6:7
1 Wafalme 6:7 Biblia Habari Njema (BHN)
Wakati nyumba ilipokuwa inajengwa, hapakusikika ndani ya nyumba mlio wa nyundo, wala wa chombo chochote cha chuma, maana ilijengwa kwa mawe yaliyokuwa yamechongwa na kutayarishwa kabisa huko yalikochukuliwa.
Shirikisha
Soma 1 Wafalme 61 Wafalme 6:7 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Na nyumba ilipokuwa ikijengwa, ikajengwa kwa mawe yaliyokwisha kuchongwa machimboni; wala nyundo, wala shoka, wala chombo cha chuma chochote, sauti yake haikusikiwa ilipokuwa ikijengwa nyumba.
Shirikisha
Soma 1 Wafalme 6